3 wafariki dunia kwa ajali ya gari

Waliofariki dunia wametajwa kuwa ni Samwel Nyerembe (44) mkazi wa Bonite ambaye alikuwa dereva wa Noah, Rebeka Tarimo (29) mkazi wa Soweto na Farida Mazimu (40) mkazi wa Bonite.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS