Rekodi mpya ya Yanga baada ya ubingwa wa 32

Yanga mabingwa NBCPL 2025/26

Yanga SC wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 baada ya kuhakikisha wanamaliza kileleni mwa msimamo wakiwa na alama 75 ukiwa ni ubingwa wa 32 katika histori ya klabu hiyo na ubingwa wa tano mfululizo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS