Oktoba 29 ni mapumziko kupisha uchaguzi mkuu-Samia
“Kwa madhumuni ya kuwawezesha wananchi wenye sifa stahiki, wakiwemo watumishi wa umma na wafanyakazi wa sekta binafsi, kutumia haki yao ya kikatiba ya kupiga kura, Rais amethibitisha Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko,”.

