Ijuka Omuka Kagera yatumika kuliombea taifa

Tamasha hilo ambalo hufanyika Desemba kila mwaka, lilibuniwa na serikali ya mkoa, likilenga kuwakutanisha wazawa wanaoishi ndani na nje, ili kuwaelezea fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo, na kuwatambua wanakagara ulioshiriki katika kuchochea maendeleo ya mkoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS