Mapya yaibuka kifo cha Ndikumana
Siku chache zikiwa zimepitatangu mchezaji wa soka wa Rwanda Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tnzania Irene Uwoya, mapya yameibuka kuhusu kifo chake cha ghafla kilichoacha majonzi kwa wapenzi wa soka.