
Mdogo wa marehemu Ndikumana Laddy Ndikumana ambaye pia ni mcheza soka, amesema wanaamini kifo cha kaka yake (Ndikumana) kimesababishwa na kuwekewa sumu na watu ambao hawajawataja ni kina nani.
Akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Laddy amesema wao kama familia wana imani kifo chake kimesababishwa na watu, na sio matatizo ya moyo kama ilivyoelezwa.
Msikilize hapa chini akisimulia