Mugabe ajiuzulu Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amejiuzulu wadhifa wake wa kuiongoza nchi hiyo, jioni ya leo baada ya wabunge kuanza kumchukulia hatua za kumuondoa. Read more about Mugabe ajiuzulu