Mke wa Kafulila atoa siri Mbunge Jesca Kishoa ambaye ni mke wa Daudi Kafulia aliyejivua uanachama wa CHADEMA hapo jana, amesema sababu za mume wake kujivua sio alizozitaja, bali kuna zingine ambazo hajasema. Read more about Mke wa Kafulila atoa siri