Maaskofu watoa kauli kwa Rais Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamemtaka Rais Joseph Kabila kujitokeza hadharani na kutangaza kuwa hatagombea urais kwa muhula wa tatu. Read more about Maaskofu watoa kauli kwa Rais