CECAFA yamteua Elly Sassi Waamuzi wawili wa soka nchini wameteuliwa na Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa ajili kuchezesha michuano ya Kombe la CECAFA Challenge itakayofanyika nchini Kenya. Read more about CECAFA yamteua Elly Sassi