"Msaliti huwa haachi usaliti" - Mnyika
Mbunge wa Kibamba kupitia Chama cha Kidemokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amewatahadharisha wananchi wa jimbo la Kinondoni kwa kutomchagua mgombea wa CCM, Maulid Mtulia kwa madai ni msaliti na hawezi kuacha hiyo tabia.