Binti wa kazi amuuwa muajiri na mtoto wake

Jeshi la Polisi katika eneo la Kisumu, nchini Kenya, linamtafuta msichana ambaye ni msaidizi wa kazi za nyumbani kwa tuhuma za kumuuwa muajiri wake na mtoto wa miezi mitatu ambaye ni wa muajiri huyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS