"Kila mtanzania anajua ukweli"- CHADEMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefunguka na kudai hakijawahi kushindwa uchaguzi wowote ule ambao umefanyika katika ardhi ya Tanzania bali kinachowapata ni kupokwa matokeo yao na kurundikwa katika chama kingine cha siasa.