Ronaldo apewa shavu Kombe la Dunia

Nguli wa soka wa zamani Ronaldo De Lima wa Brazil, amepewa majukumu ya kuzindua rasmi fainali za Kombe la Dunia 2018 kwenye mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia Alhamisi ya Juni 14.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS