Mtanzania ashinda Tuzo Marekani Mkurugenzi wa ‘Grace Products’ Dkt. Elizabeth Kilili amepokea tuzo ya utengenezaji wa vipodozi asilia katika tuzo za ‘International Quality Summit Award (IQSW) ‘ zilizofanyika Jijini NewYork nchini Marekani. Read more about Mtanzania ashinda Tuzo Marekani