Golikipa pekee kushinda tuzo ya Ballon d'Or

Lev Yashin (Black Spider)

Anaitwa Lev Yashin (Black Spider) Huyu ni golikipa kutoka nchini Urusi aliyezaliwa mwaka 1929, ndiye golikipa pekee aliyeshinda tuzo ya Ballon d'Or 1963 na ndiye golikipa pekee kwenye historia kushinda tuzo hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS