Vatican yampongeza Rais Magufuli Rais Magufuli amepongezwa na Balozi wa Vatican hapa nchini Mhashamu Askofu Mkuu Marek Solczyriski kwa juhudi zake za kuweza kuliimarisha taifa la Tanzania katika misingi iliyokuwa bora na yenye tija. Read more about Vatican yampongeza Rais Magufuli