
Hayo yameelezwa na Askofu Mkuu Marek Solczyriski muda mchache alipomaliza kufanya mazungumzo na Rais Magufuli leo Juni 12, 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mazungumzo yao yalikuwa yanahusu shughuli mbalimbali za kiroho na kijamii zinazofanywa na Kanisa Katoliki hapa nchini na amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa juhudi zake za kuliimarisha Taifa.
Mtazame hapa chini Askofu Mkuu Marek Solczyriski akizungumza zaidi