Azam FC yanasa mshambuliaji mwingine

Klabu ya Azam FC, imethibitisha kuingia mkataba wa miaka miwili na mshambuliaji Ditram Nchimbi, akitokea Njombe Mji iliyoshuka daraja msimu huu katika ligi kuu soka Tanzania bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS