“Wasichana msijiingize katika ngono”-Serikali Serikali imewataka wabunge na wananchi kwa ujumla kusaidia kutoa elimu kwa wasichana nchini kutojiingiza katika vitendo vya ngono wakiwa katika umri mdogo ili kusaidia kupunguza mimba za utotoni. Read more about “Wasichana msijiingize katika ngono”-Serikali