Washindi wa pili TMT wahofia mchujo
Timu ya mpira wa Kikapu ya TMT ambayo ilishika nafasi ya pili msimu uliopita nyumba ya mabingwa Mchenga Bball Stars, imeeleza hofu yake kwenye hatua ya mchujo kutokana na hali halisi ya maandalizi ya timu zilizojisajili.