Ufaransa yaweka rekodi ya kipekee Kombe la Dunia Wakati Ufaransa ikifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Australia mchana huu, Kylian Mbappe amekuwa mchezaji mwenye umri mdogo kucheza mchezo wa Kombe la Dunia akiwa na timu ya taifa. Read more about Ufaransa yaweka rekodi ya kipekee Kombe la Dunia