Meya awataka askari wa kike kuvaa nguo fupi

Mabinti wa vyuo waliojiriwa na Jeshi la Polisi nchini Lebanon.

Meya wa mji wa Broummana nchini Lebanon Pierre Achkar amewaajiri warembo wa vyuo vikuu katika kitengo cha maafisa usalama barabarani huku akiwapa mashariti ya kuzingatia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS