Simba kuendeleza ubabe leo?

Kikosi cha Simba SC, kikiwa uwanjani.

Simba ambao ni mabingwa wa kihistoria katika mashindano ya Kombe la Kagame, wanatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo Jumapili kucheza robo fainali dhidi ya AS Ports kutoka Djibout.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS