Humud ayakataa majina makubwa KMC

Mchezaji Abdulhalim Humud

Nyota mpya wa klabu ya soka ya KMC inayomilikiwa na Manispaa ya Kinondoni, Abdulalim Humud, amesema lengo la timu hiyo si kuwa na majina makubwa tu bali ni wachezaji kuwa na msaada katika kutimiza malengo ya timu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS