Mambo muhimu ya kujua baada ya fainali
Fainali za kombe la dunia 2018, zilizoanza Juni 14, hatimaye zimefika tamati leo Julai 15 huko nchini Urusi kwa Ufaransa kuibuka mabingwa kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa fainali uliomalizika usiku huu.