Mitihani ya Kidato cha 4 kuanza Novemba 17
Akizungumza na waandishi wa habari leo Nov 16,2025 jijini Dar es salaam Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Prof. Said Mohamed, amesema maandalizi yamefanyika kwa umakini ili kuhakikisha mtihani unafanyika kwa amani na uadilifu.

