J.Lo na mume wake wa kwanza Ojani Noa (kushoto), upande wa Kulia akiwa na mume wake wa pili Cris Judd
Tarehe kama ya leo Julai 24 mwaka 1969 amezaliwa mwimbaji bora wa POP/R&B, na mwigizaji kutoka New York nchini Marekani Jennifer Lynn Lopez maarufu kama J-LO ambaye leo anasheherekea miaka 48 ya kuzaliwa.