NECTA yakwama kutaja gharama za mitihani
Takribani wanafunzi 6433 wanatarajia kurudia mtihani wa taifa wa darasa la saba, Jumatatu na Jumanne ya, Septemba 8 na 9 mwaka huu, baada ya matokeo ya awali kufutwa kutokana na udanganyifu uliofanywa na walimu wa shule hizo.