Uchungu wamshika Lipumba, alia na Nyerere
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa nchini Profesa Ibrahim Lipumba amefunguka kuwa si vyema taifa likaingia kwenye msuguano wa kisiasa, wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.