Hytham afunguka kuhusu picha yake ya utata

Mwanadada, Hytham Kim.

Msanii wa bongo fleva, Hytham Kim ambaye hivi karibuni aliweka picha mtandaoni ikimuonesha akiwa mjamzito, amejibu tuhuma hizo, akisema kuwa kitendo hicho ni cha kawaida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS