Usain Bolt afunga mabao mawili, ahitaji mkataba
Mwanariadha mashuhuri mstaafu ambaye sasa ni mchezaji wa klabu ya Central Coast Mariners ya nchini Australia, Usain Bolt amefunga mabao mawili hii leo katika mchezo wa kirafiki na kuzidi kuongeza matumaini ya kupata mkataba rasmi wa kudumu kuitumikia klabu hiyo.