Baada ya kuachiwa Manara atoa ujumbe kuhusu MO
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ametoa ujumbe wake wa kwanza tangu aachiwe huru na polisi baada ya kuwa chini ya ulinzi kwa muda akihojiwa kuhusu kutekwa kwa mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji 'Mo'.