Linah aanika ukweli kuachana na mume wake Msanii wa muziki wa Bongofleva, Linah Sanga amefunguka juu ya taarifa za kuachana na baba mtoto wake ambaye anatajwa kuwa mume wake, Shaban Mchomvu. Read more about Linah aanika ukweli kuachana na mume wake