Kangi Lugola atakiwa kujiuzulu
Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Ndani amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kujiuzulu kutokana na matukio ya utekaji yanayojitokeza nchini ikiwemo la mfanyabiashara 'Mo Dewji'.