Kim yupo tayari kwa mazungumzo yasiyohusu nyuklia

"Ikiwa Marekani itaachana na tamaa yake ya upotoshaji ya kutaka tusitishe shughuli zetu za nyuklia na, kwa kutambua ukweli, inataka kweli kuishi pamoja nasi kwa amani, basi hakuna sababu kwa nini hatuwezi kuketi na nchi hiyo kwenye meza ya mazungumzo" amesema Kim.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS