Vitisho hivi vya Uwoya vinamhusu Dogo Janja ?
Muigizaji kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Movie, Irene Uwoya, ametoa vitisho kwa mtu anayedai ni jirani yake kuwa aache kufuatilia maisha yake kwani yatamuumiza tu maana hana mpango wa kupunguza chochote zaidi ya kuongeza.