Wanafunzi 2 wafariki kwa kuangukiwa ukuta Temeke
Wanafunzi wawili wa shule ya msingi Bwawani, Mtoni Kijichi Wilayani Temeke, wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa uzio wa shule wakiwa wamekaa wakiendelea na shughuli zao za kawaida.