Maamuzi ya mahakama kesi ya Akwilina
Kesi inayowakabili viongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe imesogezwa mbele tena hadi Disemba 21 mwaka huu kwa ajili ya kutajwa tena.