Mbunge CCM ajibu, kuchonganishwa na Nassari
Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Arusha, Amina Mollel amekana madai ya kumchongea Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa Rais John Pombe Magufuli wakati kiongozi huyo alipokuwa ziarani Mkoani Arusha.