Makonda ampa ujumbe wa Krismasi mtoto wake Keagan

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Ikiwa leo Wakristo nchini wameungana na Wakristo kote duniani kuadhimisha sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameifanya siku ya leo kuwa maalum kwa ajili ya mwanae Keagan.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS