Mtoto afichwa kabatini kwa miezi mitano Dodoma

Binti mwenye mtoto akiwa na mwanae hospitali.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi mitano, jijini Dodoma amefungiwa kabatini na mwajiri wa mama mzazi wa mtoto huyo ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS