Wakongo wa Yanga watawala ligi kuu Kushoto ni kocha Mwinyi Zahera na kulia ni Heritier Makambo. Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo na kocha, Mwinyi Zahera imeibuka kinara kwenye tuzo za mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Novemba. Read more about Wakongo wa Yanga watawala ligi kuu