Waziri 'ajivunia' kukamata madiwani 11 CCM

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amekiri kukamatwa kwa madiwani 11 wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa tuhuma za uvuvi haramu katika halmashauri ya CHATO mkoani Geita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS