Marufuku kutumia miti kutengeneza matofali
Serikali imepiga marufuku uchomaji matofali kwa njia ya tanuri kwa kutumia nishati ya kuni hasa katika maeneo ya mijini na badala yake imewataka waTU watumie pumba kama nishati mbadala ya kuchoma matofali hayo.