Manara aihofia BASATA, amtaja Jokate

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo

Mwaka ukiwa unaelekea ukingoni  leo Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya klabu ya Simba, Haji Manara ameweka hadharani orodha ya wanasanaa mbalimbali walioukonga moyo wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS