'Teleza' azidi kuleta hofu Kigoma Meya atoa neno
Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Hussein Ruhava amekiri kuwepo kwa sintofahamu juu yauwepo wa mtu anayefahamika kwa jina la 'Teleza' ambaye amedaiwa kuwaingilia kimwili wanawake wasiokuwa na waume usiku kwenye wilaya hiyo bila ridhaa yao.