Ushindi wangu, ilikuwa kazi ya nchi yangu- Miss TZ
Baada ya mashindano ya Miss World kukamilika na Queen Elizabeth Makune ambaye ameiwakilisha Tanzani kwa mwaka 2018, amesema kuwa kazi yake aliifanya vyema na kwamba kazi pekee ilibaki kwa Watanzania kupiga kura.