Dismas Ten atoa maagizo kwa Hassan Kessy

Kushoto ni Dismas Ten na kulia ni Hassan Kessy

Msemaji wa klabu ya soka ya Yanga, Dismas Ten, amemtaka mlinzi wa kulia wa timu ya Nkana Red Devils ya Zambia, Hassan Kessy aifunge Simba kwenye mchezo wa klabu bingwa Afrika Jumamosi hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS