Maamuzi kesi ya Lissu kutolewa Aprili 28
Aprili 28, 2025 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga kutoa uamuzi kwa njia ya mtandao kuhusu hoja za pingamizi za mawakili wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu.